Serikali ya Tanzania imetoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuiondolea vikwazo nchi ya Burundi+++Ujerumani itakuwa mwenyeji wa mkutano wa kutafuta amani nchini Libya utakaofanywa Juni 23 mjini Berlin+++Katika kambi moja nchini Syria, utawakuta watoto wakitembea katika barabara iliyojaa uchafu, wakicheza na mapanga ya plastiki na bendera nyeusi.