1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

04.06.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S4 Juni 2019

Uingereza- Baada ya siku yenye sherehe za matambo,na shamra shamra Rais wa Marekani Donald Trump leo anageukia sasa masuala ya kisiasa na biashara// Jeshi la Sudan limetangaza kufuta makubaliano ya kugawana madaraka lililokuwa limeafikiana na viongozi wa maandamano// China- Kumbukumbu ya miaka 30 baada ya hatua kali zilizochukuliwa dhidi ya waandamanaji waliounga mkono demokrasia.

https://p.dw.com/p/3JodC