Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani, Heiko Maas, amemaliza ziara yake nchini Tanzania// Rais wa Palestina Mahmoud Abbas ameomba msamaha leo baada ya kutuhumiwa kuwa mbaguzi dhidi ya Wayahudi// Rais wa China Xi Jinping ameahidi kuwa nchi yake itaendelea kufuata nadharia ya Karl Marx.