Uingereza imepinga pendekezo la kushirikiana na Urusi katika kufanya uchunguzi wa pamoja kuhusu kadhia ya mjini Salisbury ambapo jasusi wa zamani na binti yake walitiliwa sumu// Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inataka ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa kuondoka nchini humo ifikapo mwaka 2020.