04.04.2018 Matangazo ya asubuhi | Habari za Ulimwengu | DW | 04.04.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

04.04.2018 Matangazo ya asubuhi

Mnamo tarehe 4, mwezi Aprili mwaka 1968, vuguvugu la kupigania haki za kiraia nchini Marekani lilimpoteza kiongozi wao mkuu, Martin Luther King Jr.// Hatima ya Seif al Islam, mwana wa aliyekuwa kiongozi wa Libya, Muammar Gadhafi haijulikani, mwaka mmoja baada ya waasi wa Libya kutangaza kuwa wamemuachia huru.

Sikiliza sauti 51:59