04.03.2021 Matangazo ya Mchana | Media Center | DW | 04.03.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

04.03.2021 Matangazo ya Mchana

Mawaziri walioapishwa ni wawili kutoka ACT - Nassor Ahmed Mazrui na Omar Said Shaaban, na Dk. Saada Mkuya kutoka CCM// Kenya-Waandishi habari wanne na mbunge wameshambuliwa katika vurugu zilizoukumba uchaguzi mdogo waeneo la London, Nakuru// ICC yaanza kuchunguza uhalifu katika maeneo ya Wapalestina// Ujerumani kulegeza kwa hatua vizuizi vya COVID-19.

Sikiliza sauti 60:00