Joto la uchaguzi linapoanza kufukuta nchini Uganda, jenerali mmoja nchini humo Henry Tumukunde ametangaza nia ya kuwania urais, hatua iliyopokelewa kwa maoni mseto// Katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mgonjwa wa mwisho wa EBOLA ameondoka hospitalini jana katika mji wa Beni// Uturuki na Urusi zimeingia katika kona ambayo ni vigumu kujitoa.