Tanzania: Magufuli amesema kutekwa kwa Mo Dewji kunaacha maswali mengi kuliko majibu> Mahojiano na mchambuzi wa kisiasa/ Kongo: Maaskofu wa Kanisa Katoliki wamewatolea wito viongozi wapya kupambana dhidi ya maadili mabovu ya serikali iliyoondoka/ Karnival nchini Ujerumani