1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

04.02.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S4 Februari 2021

China yapongezwa kwa ushirikiano na timu ya WHO Mjini Wuhan// Leo ni siku ya saratani ulimwenguni. Nchini Kenya, ripoti mpya imebainisha kuwa tiba ya saratani na mahitaji ya wagonjwa vinawatia dhiki watu masikini na kuwatumbukiza zaidi kwenye ufukara// amani wa kivita Dominic Ongwen amekutwa na hatia kwa makosa makosa ya kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu.

https://p.dw.com/p/3os4j