1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

04.02.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S4 Februari 2021

Uganda- LRA Dominic Ongwen amekutwa na hatia ya uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinaadamu, huku mashirika ya kimataifa ya kutetea haki za binaadamu// Wabunge wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wamemchagua spika mtiifu kwa Rais Felix Tshisekedi jana// arepublican watalazimika kwenda kwenye rekodi, kumtetea au kumkemea Mwakilishi Marjorie Taylor Greene.

https://p.dw.com/p/3otSB