1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

04.01.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S4 Januari 2019

Kanisa Katoliki lenye ushawishi mkubwa katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo limesema kuwa linafahamu aliyeshinda uchaguzi wa rais// Siku moja baada ya ripoti ya watalaamu wa Umoja wa Mataifa kubainisha kuwa makundi yenye silaha yanayopambana dhidi ya serikali ya Rwanda yanapata msaada kutoka Burundi na Uganda, serikali ya Rwanda imesema haitavumilia uchokozi huo.

https://p.dw.com/p/3B2U2