1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

04.01.2019 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S4 Januari 2019

Idadi ya watu waliopoteza maisha au kupotea wakiwa kwenye juhudi za kusaka hifadhi ya maisha barani Ulaya kupitia bahari ya Mediterenia ilipunguwa kwa zaidi ya robo nzima mwaka jana 2018// Kwa wiki kadhaa sasa raia wa Sudan wamekuwa wakiandamana kuupinga utawala wa rais Omar al-Bashir// Umoja wa Ulaya unatarajia kuwa na mabadiliko mwaka huu wa 2019.

https://p.dw.com/p/3B1V4