Nchini Afrika Kusini Rais wa nchi hiyo Jacob Zuma ameendelea kukutana na wakati mgumu// Asasi za kiraia na wanaharakati nchini Kenya leo walitawanywa na polisi walipojaribu kuandamana// Je kwanini serikali ya Rais Uhuru Kenyatta imezongwa na kushindwa kupambana na jinamizi hili la ufisadi?// Serikali ya Burundi imetishia kuwaondowa wanajeshi wake kwenye kikosi cha kulinda amani Somalia.