1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

03.10.2019 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S3 Oktoba 2019

Uhariri kuhusu muungano wa Ujerumani/ Zoezi la kuwarejesha wakimbizi wa Burundi kutoka Tanzania linaonekana kukumbwa na wasiwasi wa kutofanikiwa kutokana na wakimbizi wengi kuonekana kutokuwa tayari kurudi nchini mwao/ Kutokana na kitisho cha vita kati ya serikali ya Kenya na kundi la wanamgambo la al-Shabab, jamii za visiwa vya Kenya vilivyo karibu na mpaka wa Somalia zinakosa huduma ya afya

https://p.dw.com/p/3QgnH