1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

03.10.2016 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S3 Oktoba 2016

Sherehe za kuadhimisha miaka 26 tangu Ujerumani illipoungana upya zinafanyika mwaka huu katika mji wa mashariki wa Dresden// Dunia imeshitushwa na matokeo ya kura ya maoni nchini Colombia// Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ametimiza ahadi ya serikali ya awamu ya tano ya taifa hilo kwa kufanikisha kuhamia Dodoma, mji mkuu wa taifa hilo.

https://p.dw.com/p/2QpU5