1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

03.09.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S3 Septemba 2021

Kundi la Taliban linajiandaa kutangaza serikali mpya Ijumaa huku dunia ikusubiri kwa shauku kuona iwapo utawala mpya utatimiza ahadi zao kwa Afghanistan+++Wanasiasa kadhaa Kenya,wamejiunga katika walichokiita ''Muungano wa Wazalendo'' watakachokitumia kuwania kiti cha urais+++UN yaonya mzozo wa Tigray kuwa mbaya zaidi+++Mshukiwa wa ugaidi auawa na polisi New Zealand.

https://p.dw.com/p/3zrvu