03.09.2019 Matangazo ya Jioni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 03.09.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

03.09.2019 Matangazo ya Jioni

Timu ya wachunguzi wa makosa ya uhalifu wa kivita ya Umoja wa mataifa imesema vitendo vya ukiukwaji wa kutisha wa haki za binadamu vimekuwa vikifanywa na pande zote zinazohusika katika mgogoro wa Yemen/ Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Ujerumani amewasili Sudan/ Serikali ya Kenya imetenga takriban nafasi elfu tatu mia sita kwa ajili ya kukuza ujuzi wa vijana wanaotafuta kazi

Sikiliza sauti 59:59