China inatahadharisha kuwa Marekani italipa gharama ikiwa Spika wa Bunge Nancy Pelosi atazuru Taiwan wakati wa safari yake ya Asia+++Tanzania na Zambia kuimarisha uhusiano wa ujirani mwema+++Uganda-Kizza Besigye na Robert Kyagulanyi wameazimia kuungana ili kukabiliana kisiasa na utawala wa Rais Yoweri Museveni.