1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

03.08.2017 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S3 Agosti 2017

Mabalozi wa nchi za Ulaya na Marekani wameitaka Tume huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini Kenya IEBC kuhakikisha kuwa uchaguzi mkuu wa juma lijalo unafanywa kwa njia huru na ya haki// Bunge la Brazil limepiga kura, kupinga mashtaka ya rushwa dhidi ya rais Michel Temer// Nchini Tanzania, mgogoro wa ndani ya chama cha upinzani cha wanananchi CUF unaendelea.

https://p.dw.com/p/2hd0I