Ujerumani inaendelea kukabiliwa na mgogoro wa kisiasa uliosababishwa na tofauti ya maoni kuhusu suala la uhamiaji, kati ya kansela Angela Merkel na waziri wake wa masuala ya ndani, Horst Seehofer// Mtumiaji wa mitandao ya kijamii kama vile facebook twitter na instagram nchini Uganda atalazimika kulipia shilinbgi 200 za uganda ili kufikia huduma ya mitandao hiyo.