03.06.2021 - Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 03.06.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

03.06.2021 - Matangazo ya Asubuhi

Janga la COVID-19, limeharibu familia kote India na kuacha maelfu ya watoto wakiwa yatima au bila mzazi mmoja+++Wizara ya afya ya Rwanda imetangaza mkakati mzito wa kuanza kutoa chanjo ya virusi vya corona kabla ya kumalizika mwaka huu wa 2021+++Baada ya kipindi kirefu cha mauwaji ya zaidi wapigania demokrasia 30 nchini Iraq,haitimaye mmoja wa washukiwa ametiwa mbaroni.

Sikiliza sauti 51:59