Nchi mbalimbali zalaani matumizi ya nguvu Sudan/ Rais Trump akutana na Malkia Elizabeth wa Uingereza/ Matumizi ya noti ya zamani ya shilingi alfu moja nchini Kenya yatasitishwa Oktoba Mosi mwaka huu. Hali hii imeibua hisia tofauti miongoni mwa wananchi, wanasiasa na wachumi> Mahojiano/ Maoni: Ujerumani yakabiliwa na nyakati ngumu