Baadhi ya mataifa ya Ulaya yaanza kulegeza taratibu vizuizi vilivyowekwa kudhibiti kuenea kwa virusi vya corona // Rais Trump apongeza kujitokeza tena hadharani kwa Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un // Na Waisrael waandamana dhidi ya serikali ya muungano wakati mahakama ikitarajiwa kuamua kuhusu makubaliano hayo