Viongozi mbalimbali duniani wameendelea kutoa salamu zao za rambirambi kufuatia kifo cha Winnie Madikizela-Mandela// Viongozi sita waandamizi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo -CHADEMA nchini Tanzania waliokuwa wakishikiliwa rumande kwa tuhuma za uchochezi dhidi ya serikali wamefikishwa tena mahakamni leo.