Rais Xi Jinping wa China leo hii amemwambia mwenziwe wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa kwamba wanapaswa kuufanyia kazi kwa pamoja ukurasa mpya wa ushirikino wao// Mataifa makubwa matatu ambayo yamehusika na sura ya vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Syria yaani Iran, Urusi na Uturuki yatajadili njia za kumaliza mapigano nchini humo kesho Jumatano.