Ripoti ya shirika la waandishi habari wasio na mipaka RSF inasema Uhuru wa vyombo vya habari nchini Tanzania umeminywa chini ya utawala wa Rais John Magufuli na kuwaacha wanahabari wakijawa na hofu// Nchini Kenya usalama wa watetezi wa haki za kibinadamu umeendelea kutiliwa shaka huku serikali ikilaumiwa kwa kuwavuruga shughuli zao.