03.03.2021 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 03.03.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

03.03.2021 Matangazo ya Jioni

Polisi wakabiliana na waandamanaji Myanmar// Rwanda imepokea awamu ya kwanza ya chanjo dhidi ya virusi vya corona. Jumla ya chanjo 240,000 za AstraZeneca/Oxford zime// Leo ni Siku ya Wanyamapori Duniani, lakini wataalamu nchini Tanzania wanaonya kuhusu uwezekano wa kupungua kwa wanyama kama ndovu na faru iwapo juhudi za kukabiliana na vitendo vya ujangili hazitaratibiwa kwa uangalifu.

Sikiliza sauti 60:00