Mwanasheria mkuu wa Marekani jenerali Jeff Sessions amejiondoa kwenye uchunguzi kuhusu kujiingiza wa Urusi katika kampeni za Rais Donald Trump mwaka uliopita// Serikali ya Uturuki leo hii imeituhumu Ujerumani kwa kuiita "ndumilakuwili" baada ya mamlaka ya mji wa Gaggenau uliopo Kusini Mwa Ujerumani kumzuia waziri wa sheria wa Uturuki Bekir Bodzag kuzungumza katika mkutano.