Wakati mazungumzo ya amani ya Syria yakikaribia kuhitimishwa jijini Geneva, hakujaonekana kuwepo kwa makubaliano yaliyoahidiwa// Ujerumani na Tunisia zimetangaza makubaliano mapya katika kukabiliana na uhamiaji unaofanyika kinyume na sheria// Mgombea kiti cha rais kutoka chama cha kihafidhina Les Republicains Francois Fillon anazidi kukimbiwa na wafuasi wake kufuatia kashfa ya kazi bandia.