1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

03.02.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S3 Februari 2021

Wanasheria wa Navalny kukata rufaa dhidi hukumu ya zaidi ya miaka mitatu jela/ UN yaelezea wasiwasi kuhusu hali ya kibinadamu katika eneo la Tigray, Ethiopia/ Tanzania: Baraza la tiba asili limepitisha na kuzisajili dawa asili kupambana na mfumo wa upumuaji pamoja na magonjwa nyemelezi yanayosababishwa na virusi vya corona/ Aung San Suu Kyi huenda akashtakiwa na utawala wa kijeshi

https://p.dw.com/p/3ooq7