1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

03.02.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S3 Februari 2021

Aung San Suu Kyi afunguliwa mashtaka baada ya mapinduzi/ Corona: Viongozi sita wa ulimwengu wametoa ombi la ushirikiano wa kimataifa/ Kigali: Serikali ya Rwanda imeongeza muda wa wiki moja zaidi ya zuio la kukaa ndani/ Congo: Benki ya Dunia kuamua kuahirisha malipo ya fedha za msaada kwa elimu bure ngazi ya msingi / Serikali ya Kenya imeanza kutekeleza mpango wa ajira kupitia mbinu za kidigitali

https://p.dw.com/p/3optg