03.02.2017 Matangazo ya mchana | Habari za Ulimwengu | DW | 03.02.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

03.02.2017 Matangazo ya mchana

Viongozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya wanakutana leo nchini Malta// Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Sigmar Gabriel amekutana na mwenzake wa Marekani Rex Tillerson pamoja na makamu wa rais wa nchi hiyo Mike Pence mjini Washington// Ziara ya Kansela Angela Merkel nchini Uturuki imekuja katika wakati mgumu.

Sikiliza sauti 60:00