1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

03.01.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S3 Januari 2019

Ujumbe wa waangalizi wa Umoja wa Afrika umejaribu kuwashawishi wagombea wakuu kwenye uchaguzi wa rais katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ili kukubali matokeo ya uchaguzi// Mwezi uliopita vyama sita vya upinzani nchini Tanzania vilikutana na kutoa azimio maarufu kama 'Azimio la Zanzibar' lililosema kwamba mwaka 2019 utakuwa ni wa kuidai na kuipigania demokrasia nchini humo.

https://p.dw.com/p/3Azhm