Kura zikiwa zinaendelea kuhesabiwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, tume huru ya uchaguzi nchini humo CENI imeitisha mkutano na waandishi habari mjini Kinshasa// Muunganano wa vyama kumi vya upinzani nchini Tanznaia umefungua kesi katika mahakama kuu kupinga mswada wa sheria mpya ya vyama vya siasa// Kenya- Chama cha Orange Democratic Movement, ODM, kimeanza kuonyesha dalili za mpasuko.