1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

03.01.2019 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S3 Januari 2019

Raia katika miji ya Beni na Butembo waliopiga kura ya ishara Jumapili iliyopita wamesema wanataraji kuwa tume ya uchaguzi nchini humo, CENI itayaunganisha matokeo ya kura hiyo hususan ya urais na matokeo ya maeneo mengine// Chama cha walimu cha kitaifa nchini Kenya KNUT kimeendelea kuwatolea wito walimu nchini humo kuendelea na mgomo wao.

https://p.dw.com/p/3Azhn