03.01.2017 Matangazo ya asubuhi | Habari za Ulimwengu | DW | 03.01.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

03.01.2017 Matangazo ya asubuhi

Rais mteule wa Liberia George Weah ni maarufu miongoni mwa kundi la vijana nchini Liberia// Serikali ya Kenya kupitia mamlaka ya usalama barabarani nchini humo (NTSA) imezuia safari za usiku kwa magari yanayosafiri umbali mrefu// Sheria mpya nchini Iceland sasa imeanza kufanya kazi kisheria ambapo wanaume watalipwa mshahara sawa na wanawake.

Sikiliza sauti 51:59