Marekani, Ufaransa zaapa kuiwajibisha Urusi kwa vita Ukraine+++Hatima ya kisiasa wa Rais Ramaphosa iko matatani+++ Kamati ya pamoja inayowajumuisha wajumbe wa vikosi vya Tigray na wale wa serikali ya Ethiopia, imekutana katika eneo la Tigray+++Kwa mara ya pili mfululizo timu ya taifa ya Ujerumani imeondolewa katika hatua ya makundi ya michuano ya Kombe la Dunia.