1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.12.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S2 Desemba 2021

Umoja wa Mataifa wahofia ghasia zitaisambaratisha Ethiopia+++Chama cha NCCR Mageuzi chaikosoa serikali Tanzania+++Afrika imepata hasara ya zaidi ya dola bilioni 10 kutokana na corona+++Hafla maalum ya kijeshi kumuaga Angela Merkel+++Ulimwengu unaadhimisha siku ya kimataifa ya kupiga marufuku utumwa (02.12.2021).

https://p.dw.com/p/43lAF