02.12.2021 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 02.12.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

02.12.2021 Matangazo ya Asubuhi

Ulimwengu waadhimisha siku ya kupambana na Ukimwi+++Tanzania imeanzisha mkakati wa ufuatiliaji wa kina kwa wanaokutwa na maambukizi ya virusi vya ukimwi+++Libya inahesabu chini ya mwezi mmoja iingie kwenye uchaguzi mkuu+++Karibu Wakenya 89 wamekufa katika mataifa ya Ghuba, zaidi ya nusu yao wakiwa wafanyikazi wa nyumbani wa kike.

Sikiliza sauti 51:59