1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.12.2020 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S3 Desemba 2020

Ethiopia: Mitandao ya kijamii imegubikwa na wimbi la taarifa za kuiandama Tigray. Wimbi hili linaonesha kushamiri kwa propaganda katika vita vinavyoendelea katika jimbo hilo/ Congo: Wanawake wavuvi katika ziwa Eduard wanasema wanaathirika na vitendo vya uhalifu/ Kenya imeibuka ya 17 kwenye orodha ya mataifa 52 ya Afrika yaliyo na sera, sheria na mifumo inayoyajali maslahi ya mtoto hasa wa kike

https://p.dw.com/p/3m9s5