02.12.2020 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 02.12.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

02.12.2020 Matangazo ya Asubuhi

Rais wa Halmashauri kuu ya Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen amekamilisha mwaka mmoja tangu aliposhika wadhifa huo/ Senegal imesifiwa katika juhudi zake za kukabiliana na janga la Corona. Hata hivyo mbinu iliyofanikisha hali hiyo inasababisha mgawanyiko miongoni mwa wataalam/ Macron anakabiliwa na shinikizo kwa kubadili mkondo wa siasa kuelekea mrengo wa kulia

Sikiliza sauti 51:59