1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.11.2018 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S2 Novemba 2018

Kiongozi wa chama cha upinzani nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe leo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam na kusomewa mashtaka matatu ya uchochezi na kisha kuachiwa kwa dhamana//Leo ni siku ya kuhimiza juhudi za kukomesha tabia ya kutowaadhibu wanaotenda uhalifu dhidi ya waandishi habari.

https://p.dw.com/p/37aPB