1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.11.2018 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S2 Novemba 2018

Uchaguzi wa katikati ya muhula hutoa nafasi nzuri kwa kubadili au kuushawishi utawala wa Donald Trump kuhusu masuala mengi, hasa ikizingatiwa kuwa uchaguzi mkuu wa urais utafanyika miaka miwili ijayo// Mahakama kuu ya mji wa Stuttgart imewahukumu raia wawili wa Rwanda kwa uhalifu waliotenda mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo.

https://p.dw.com/p/37Xjh