02.09.2021 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 02.09.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

02.09.2021 Matangazo ya Jioni

Jeshi la polisi Tanzania limesema leo kuwa Hamza Mohammed ambaye baadae aliuwawa, alikuwa ni gaidi+++Mwanamuziki maarufu wa mtindo wa Rap kutoka Rwanda anayefahamika kwa jina la Jay Polly amefariki leo Alhamisi akiwa gerezani+++Msafara wa raia huko Kivu Kaskazini katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ulishambuliwa na waasi wa ADF+++Wanawake wa Afghanistan waandamana kutaka haki zao kulindwa+++

Sikiliza sauti 59:59