Kampeni za uchaguzi mkuu nchini Kenya zimeingia kipindi cha lala usalama// Kiongozi wa muda mrefu nchini Rwanda Paul Kagame atachaguliwa tena Ijumaa na kutakuwa na uwezekano wa kukaa madarakani hadi mwaka 2034// Jeshi la Nigeria linalaumiwa kuwa linachukua hatua kali katika kupambana na kundi la kigaidi lenye misimamo mikali ya dini ya Kiislam Boko Haram//