Utekelezwaji wa mkataba kuhusu eneo huru la biashara la Afrika maarufu kama, AfCFTA, unaashiria kugonga mwamba kutokana na janga la COVID-19// Ujerumani inachukua urais wa kupokezana wa Umoja wa Ulaya katikati ya hali tete kwenye historia ya Ulaya// WFP- Janga la virusi vya corona limewatumbukiza mamilioni ya watu katika baa la njaa.