02.06.2021 - Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 02.06.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

02.06.2021 - Matangazo ya Asubuhi

Uganda: Wimbi jipya la maambukizi ya COVID-19 latishia shughuli za elimu /Kampuni ya Pfizer yatarajiwa kutengeza dawa za kuzuia kuenea kwa virusi vya COVID-19/ Chama cha Wakimbizi wa Rwanda nchini Msumbiji chalaani kutoweka kwa mwandishi wa habari Ntamuhanga Cassien/ Majeshi duniani yatakiwa kupunguza utoaji wa gesi ya kaboni/ Wanasiasa na maafisa wa Tunisia waaonya kuhusu uchumi kuporomoka

Sikiliza sauti 52:00