1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.05.2022 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S2 Mei 2022

Uganda yaungana na Waislamu duniani kuadhimisha Eid al-Fitr/ Kenyatta amvaa naibu wake Ruto akimtaka ajiuzulu/ Ukraine: Urusi ilianza tena kushambulia baada ya raia kuondoka Azovstal/ Waandishi habari Waukraine watuzwa na DW/ Je, Umoja wa Ulaya utamshinikiza Modi kuhusu Ukraine?

https://p.dw.com/p/4Aifl