02.03.2021 Matangazo ya Mchana | Media Center | DW | 02.03.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

02.03.2021 Matangazo ya Mchana

Wanafunzi 279 waliotekwa nyara Nigeria waachiwa huru// Rais wa Zanzibar Dk Hussein Ali Mwinyi leo amemuapisha Makamo wa kwanza wa Rais, Othman Masoud Othman Ikulu mjini Zanzibar// Katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Mkutano wa Kitaifa wa Maaskofu wa Kongo (CENCO) umeonya kuwa raia hawatavumilia uchaguzi kuahirishwa.

Sikiliza sauti 60:00