1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.03.2020 Taarifa ya habari asubuhi

Bruce Amani
2 Machi 2020

Ndege za Uturuki zisizoruka na rubani zimewauwa wanajeshi 19 wa serikali ya Syria // Waziri mkuu mteule wa Iraq Mohammad Allawi ajiondoa katika jukumu la kuunda serikali mpya // Na Waisrael wanapiga kura leo kwa mara ya tatu katika kipindi cha mwaka mmoja

https://p.dw.com/p/3YiKe